SKYLIGHT BAND MWENDO NI ULE ULE SPIDI 120 NDANI YA THAI VILLAGE-MASAKI LEO USIKU
Mwanamuziki wa Digna wa Skylight
Band akitoa burudani kwa mashabiki wa Bendi hiyo sanjari na Mary Lucos
pamoja na Aneth Kushaba AK 47 ndani ya kiota cha Thai Village Masaki
jijini Dar Ijumaa iliyopita.
Joniko Flower akishambulia
jukwaa na kikosi kazi cha Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya uwanja
wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar....Tukutane pale kati
leo usiku kama kawaida.....!
Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani sambamba na Mary Lucos pamoja na Digna kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita.
Sony Masamba wa Skylight Band akijiachia na shabiki wake kwa raha zao.
Sam Mapenzi a.k.a Asali ya warembo akifanya yake jukwaani juma lililopita ndani Thai Village.
Mdau David akichiziki na Skylight Band.
Familia ya Skylight Band ikisebeneka na Style ya "Yachuma chuma"....!
Twende kazi.......burudani ile ile njoo ushuhudie mwenye leo usiku pale Thai Village.
Vijana wanapofanya kazi nzuri Motisha ni lazima kuwapa nguvu zaidi....!! Wapi mzee Eurooooooo...!!! Sogea pande hizi leo usiku.
Familia ya Skylight Band.
Kulia ni mdau Abubakar Abdul na
marafiki zake ndani ya viwanja vya Thai Village kwenye muziki muzuri wa
Skylight Band Ijumaa iliyopita na Ijumaa hii usikose mdau.
Full kujiachia na Skylight Band.
Mduara ulichezeka pia.
Unaruhusiwa kusheherekea
Birthday yako na Skylight Band..... Utaimbiwa na kupigiwa makofi kama
anavyofurahia mwanadada pichani....!
Mrembo mwingine naye ambaye pia ni mdau mkubwa wa Skylight Band naye alikuwa akisheherekea birthday yake Ijumaa iliyopita.
Mwingine na huyo........Kama unazaliwa leo unakaribishwa..... ndani ya Thai Village na Skylight Band.
SKYLIGHT BAND MWENDO NI ULE ULE SPIDI 120 NDANI YA THAI VILLAGE-MASAKI LEO USIKU
Reviewed by crispaseve
on
01:47
Rating:
Post a Comment