UZINDUZI WA REAL UNIQ TZ WAFUNIKA JIJINI DAR
Mkurugenzi
Fabak Fashion, Asia Idarous Khamsin akizungumza wakati wa uzinduzi
rasmi wa Kampuni ya Real Uniq Tz jijini Dar es Salaam jana usiku.
Uzinduzi huo ambao ulijaza umati wa watu katika ukumbi wa Samaki Samaki
uliopo mtaa wa Samora.
Kampuni
hiyo itakuwa inashughulisha na shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na
Utengenezaji wa Matangazo ya Biashara, Modeling/Mitindo Uratibu wa
Shughuli mbalimbali pamoja na Mabausa.
Asia
Idarous alisema kuwa uwepo wa kampuni hiyo ya kwanza nchini inayotoa
huduma hizo italeta ufanisi hasa katika tasnia ya mitindo ambapo hutumia
zaidi warembo katika maonesho ya mavazi.
Mmoja
wa mamodel wa kampuni ya Real Uniq Tz akipita jukwaani akiwa amevalia
kivazi cha Kanga kilichobuniwa na na Asia Idorous wa Fabak Fashion.
Asia akiwa na Models waliovalia vazi la kanga za Tanzania kutoka Faback Fashion.
Burudani kutoka Michael Jackson wa Tanzania ilikuwepo.
Baaadhi ya warembo walioshiriki shindano la Miss Tanzania 2013 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi huo.
Hii
ndo ilikuwa tatu bora ya Miss Tanzania 2013, Miss Tz, Happiness
Watimanywa (katikati) akiwa na Latifa Mohamed (kushoto) na Clara Bayo.
Zulia jekundu lilikuwepo kwa watu mbalimbali kupiga picha.
Wadau mbalimbali mbali walikuwepo hapo Samaki Samaki
Models wa kiume wa Real Uniq wakipozi kwa picha
Miss
Tanzania 2013, Happiness Watimanya (kushoto) akiteta jambo na Mgeni
rasmi na Mbunifu wa Mitindo ambaye pia ni Mmiliki wa Kampuni ya Fabak
Fashion, Asia Khamsini.
Daudi Mambya akiweka saini katika kitabu cha wageni
Watu walikuwa nyomi...SOURCE: FATHER KIDEVU BLOG.
UZINDUZI WA REAL UNIQ TZ WAFUNIKA JIJINI DAR
Reviewed by crispaseve
on
08:51
Rating:
Post a Comment