Maadhimisho ya Kimataifa ya kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994 kufanyika jijini Dar esSalaam Aprili 7
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania
Dkt. Ben Rugangazi akiongea na waandishi wa habari Jana jijini Dar es
salaam juu ya maadhimisho ya Kimataifa ya kumbukumbu ya miaka 20 ya
mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994, maadhimisho hayo
yatakayofanyika jijini Dar es salaam Aprili 7, mwaka huu ambapo Mgeni
Rasmi atakuwa Waziri Ofisi ya Rais (Asiye na Wizara Maalum), Prof.Mark
Mwandosya.

Balozi wa Rwanda nchini Tanzania
Dkt. Ben Rugangazi (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo
pichani)jana jijini Dar es salaam kuhusu kumbukumbu ya maadhimisho ya
mauaji ya kimbari ya Rwanda ya 1994. Kushoto ni Afisa Habari wa Kituo
cha Kimataifa Stella Vuzo.

Balozi wa Rwanda nchini Tanzania
Dkt. Ben Rugangazi (kushoto) akiongea na waandishi wa habari jana jijini
Dar es salaam juu ya maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya kumbukumbu ya
miaka 20 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994,
maadhimisho hayo yatakayofanyika jijini Dar es salaam Aprili 7, mwaka
huu ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Ofisi ya Rais (Asiye na Wizara
Maalum), Prof.Mark Mwandosya. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari
MAELEZO Assah Mwambene.
Maadhimisho ya Kimataifa ya kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994 kufanyika jijini Dar esSalaam Aprili 7
Reviewed by crispaseve
on
15:24
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
15:24
Rating:


Post a Comment