Rais Kikwete aongoza Sherehe za miaka 50 ya Muungano
-Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wananchi wakati
alipokuwa anaingi uwanja wa Uhuru leo katika maadhimisho ya miaka 50 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar..Pembeni ni Mkuu wa majeshi Jenerali
Davis Mwamunyange.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua vikosi vya ulinzi na
usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Joyce Banda wa Malawi
katika sherehe za miaka 50 ya Muungano.Rais Banda kwa sasa ndiye
mwenyekiti wa jumuiya ya uchumi kusini mwa Afrika SADC.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt.Mohamed
Ali Shein wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya muungano.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mfalme Mswati katika sherehe za
miaka 50 ya Muungano zilizofanyika katika viwanja vya uhuru leo.
Rais dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni katika sherehe za miaka 50 ya Muungano.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Pierre Nkurunzinza wa
Burundi katika maadhimisho ya hsrehe za miaka 50 ya Muungano
-Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Uhuru Kenyatta katika hsrehe za miaka 50 ya Muungano.(picha na Freddy Maro)
Rais Kikwete aongoza Sherehe za miaka 50 ya Muungano
Reviewed by crispaseve
on
02:21
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
02:21
Rating:










Post a Comment