KINANA ALAKIWA NA SAMUEL SITTA PAMOJA NA VIONGOZI WA CUF URAMBO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua shamba la mahindi la
Kikundi cha Vijana cha Hiari ya Moyo katika Kijiji cha Ndorobo, wakati
wa ziara yake, wilayani Urambo, mkoani Tabora jana. Mahindi hayo
yanazalishwa kwa kilimo cha umwagiliaji
Kinanaakitoka kukagua kisima kichotumiwa na vijana wa Hiari ya Moyo kumwagilia mashamba yao
Kinana akikagua gwaride la chipukizi wa CCM baada ya kuwasili wilayani Urambo.
Kinana akikumbatiana na Diwani wa Kata ya Usoke, Kandora Nyanda (CUF),
ambaye alikuwepo wakati wa mapokezi wilayani Urambo, Tabora ambako
ameanza ziara ya kikazi ya kuimarisha chama, kukagua, kuhimiza na
kusukuma utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kuata Ilani ya CCM
mkoani, Tabora
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia wakati wa
mapokezi ya msafara wa Katibu Mkuu, Abdulrahman Kinana katika Kijiji cha
Izimbili, wilayani Urambo
Kinana akijadiliana jambo na Mbunge wa Urambo, Samuel Sitta wakati wa
mapokezi katika Kijiji cha Izimbili, wilayani Urambo. Katikati ni Mkuu
wa Mkoa wa Tabora Fatma Mwassa, ambako ameanza ziara ya kikazi ya
kuimarisha chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma utekelezaji wa miradi ya
maendeleo kwa kuata Ilani ya CCM mkoani, Tabora
Vijana wa Sungusungu wakishangilia wakati wa uzinduzi wa Zahanati ya
Izengabotogilwe yenye uwezo wa kuhudumia vijiji vinne, wakati zaiara
yake wilayani Urambo
Wananchi wakigombea kumsalimia Kinana baada ya kuzindua zahanati hiyo
Kinana akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa kikundi cha Vijana
cha wakulima wa mashamba ya umwagiliaji cha Hiari ya Moyo Kijiji cha
Ndorobo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Mbunge wa Jimbo la Urambo,
Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta (kushoto), wakisaidia ujenzi wa
jengo la CCM Tawi la Mabatini mjini Urambo,wakati wa ziara yake ya
kuimarisha chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma utekelezaji wa miradi ya
maendeleo kwa kuata Ilani ya CCM mkoani, Tabora
Sitta akiagua shamba la mahindi la kikundi cha vijana cha Hiari ya Moyo
Vijana wa Chipuklizi wa CCM wakimlaki Kinana katika Kijiji cha Izimbili
Wananchi wakishangilia wakati wa mapokezi ya Kinana katika Kijiji cha Izimbili
Mbunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Tabora, Magreth Sitta akiwasalimia
wananchi wakati wa mapokezi ya Kinana katika Kijiji cha Izimbili,
wilayani Urambo.
Kinana akihutubia wananchi wakati wa mapokezi ya msafara wake katika Kijiji cha Izimbili
Sungusungu wakishangilia baada ya Kinana kuzindua Zahanati Izengabotogilwe
Kinana akiagana na Sungungusungu hao
Kinana akizindua mradi wa wanawake wa mashine za kukamua alizeti katika Kijiji cha Itundu
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua wodi ya Mama Ngojea
katika Hospitali ya Wilaya ya Urambo, mjini Urambo,. Jengo hilo
limejengwa kwa msaada wa Mbunge wa Jimbo hilo, Samuel Sitta, Mbunge wa
Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Magreth Sitta, Mfanyabiashara maarufu
Mustafa Sabodo na Halmashauri ya wilaya hiyo. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA
MATUKIO BLOG
KINANA ALAKIWA NA SAMUEL SITTA PAMOJA NA VIONGOZI WA CUF URAMBO
Reviewed by crispaseve
on
02:21
Rating:

Post a Comment