BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR MWENYEJI WA MKUTANO WA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA USAJILI WA CHAKULA NA DAWA KWA NCHI ZA EAC.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohd Saleh Jidawi akifungua Mkutano wa siku
mbili wa Jumuiya ya Africa Mashariki wa kufanya tathmini ya utekelezaji
wa usajili wa Chakula na Dawa kwa Mamlaka za udhibiti wa bidhaa hizo kwa
Nchi wanachama.
Afisa
wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Bi. Hidaya Juma Hamad
akielezea changamoto wanazokabiliana nazo katika utekelezaji wa kazi za
Bodi hiyo, (kusho) ni Meneja Operesheni wa Mradi wa Usajili wa chakula
na Dawa wa nchi za Afrika Mashariki Apolo Muhaiwira.
BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR MWENYEJI WA MKUTANO WA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA USAJILI WA CHAKULA NA DAWA KWA NCHI ZA EAC.
Reviewed by crispaseve
on
11:08
Rating:
Post a Comment