Header AD

Picha Kutoka IKULU Zanzibar:Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Bradley Childress Ajitambulisha Rasmi Kwa Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifuatana na  Balozi wa Marekani  nchini Tanzania Mhe,Mark Bradley Childress (kushoto) baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Balozi wa Marekani  nchini Tanzania Mhe,Mark Bradley Childress alipofika Ikulu Mjini Unguja Kujitambulisha leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi wa Marekani  nchini Tanzania Mhe,Mark Bradley Childress alipofika Ikulu Mjini Unguja Kujitambulisha leo.[Picha na Ramadhan Othman,IKULU-Zanzibar
Picha Kutoka IKULU Zanzibar:Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Bradley Childress Ajitambulisha Rasmi Kwa Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Picha Kutoka IKULU Zanzibar:Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Bradley Childress Ajitambulisha Rasmi Kwa Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Reviewed by crispaseve on 20:56 Rating: 5

No comments

Post AD