Header AD

Picha Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu:Tazama Picha za Matukio Mbalimbali ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda Bungeni Mjini Dodoma


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali ya Papo kwa papo bungeni mjini Dodoma Julai 12, 2014.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Sarah  Kasui,  mwanafunzi wa Kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya  Sejeli  mkoani Dodoma kwenye viwanja  vya bunge mjini Dodoma  Juni 12, 2014.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 12, 2014
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  wabunge  Nyambali Nyangwine  wa Tarime (katikati) na  na Saidi Mtanda  wa Mchinga kwenye viwanja  vya bunge mjini Dodoma Juni 12, 2014.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum,Lucy Mayenga (kushoto) na Mbunge wa Mchinga Saidi Mtanda kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Juni 12, 2014.
Picha Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu:Tazama Picha za Matukio Mbalimbali ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda Bungeni Mjini Dodoma Picha Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu:Tazama Picha za Matukio Mbalimbali ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda Bungeni Mjini Dodoma Reviewed by crispaseve on 11:26 Rating: 5

No comments

Post AD