ZITUPIE JICHO PICHA 14 MPYA ZA PSQUARE
Mapacha
wawili, Peter na Paul Okoye wanaounda kundi la Psquare wameachia picha
kali kwa ajili ya promo ya ujio mpya wa albamu yao ya sita
inayotarajiwa kuingia rasmi sokoni mwezi September mwaka huu.
Baadhi ya picha hizo wakali hao wanaonekana wakiwa wametupia
clothing line ya kaka yao Tony Okoye ”Ajeh wears” ambazo zimekuwa gumzo
hasa kutokana na kuwa na muonekano wa kiafrica zaidi. Wacheki Hapo
Chini.
Paul Okoye katika pozi akiwa ametinga AJ Wears
Psquare katika pozi wakiwa wametupia clothing line yao AJ Wears
ZITUPIE JICHO PICHA 14 MPYA ZA PSQUARE
Reviewed by crispaseve
on
05:07
Rating:
Post a Comment