FAT JOE AWATAKA RICK ROSS NA DJ KHALED WAPUNGUZE UBONGE
Rapa
wa Marekani, Fat Joe amewatolea uvivu washkaji zake, Rick Ross na Dj
Khaled wakati alipofanyiwa mahojiano na Fuse Tv na kuwataka wafanye
jitihadi katika mazoezi ili waweze kupungua uzito kama jinsi yeye alivyo
kwa sasa.
” I talked them all into losing weight. [I was like] yo, we gotta
lose weight or we gonna die. You don’t want to leave the money behind.
You worked hard to be successful. I think Rick Ross owns like 25
wingstops! He’s doing really good for himself and I’m like, ‘my man, we
gotta work out. We gotta do it.’ Now, they took the torch and they might
be beating me. Khaled is on Instagram working out, no matter what. I
applaud him. He’s also my daughter’s godfather so I want him to be
around for a long time”. alifunguka Fat Joe
Itakumbukwa mwezi April mwaka huu, Fat Joe aliwashangaza watu
wengi baada ya kupoteza takribani kilo 90 baada ya kumaliza kutumikia
kifungo chake cha miezi minne jela kwa kosa la kukwepa kulipa kodi na
kumfanya aonekane tofauti na hapo awali.
Pichani ni Fat Joe Kabla na baada ya kupungua uzito
FAT JOE AWATAKA RICK ROSS NA DJ KHALED WAPUNGUZE UBONGE
Reviewed by crispaseve
on
22:42
Rating:

Post a Comment