PICHA : HIVI NDIVYO BEYONCE ALIVYOSHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
Beyonce ambaye ametimiza umri wa miaka 33 Septemba 04 mwaka
huu, alionekana akiwa mwenye furaha wakati akisherekea siku yake hiyo
muhimu sambamba na kucheza michezo mbalimbali na mumewe katika pwani ya
Corsica kusini mwa nchi hiyo.
PICHA : HIVI NDIVYO BEYONCE ALIVYOSHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
Reviewed by crispaseve
on
10:30
Rating:

Post a Comment