UZINDUZI WA FILAMU YA 'MATESO YANGU UGHAIBUNI' WAFANA JIJINI DAR


Mkurugenzi
wa Didas Entertainment, almaarufu kwa jina la Didas Facion akiongea
wakati wa uzinduzi wa Filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni iliyofanyika jana
Septemba 4, 2014 katika viwanja vya Leadrs Club. Pembeni yake ni
Msanii Wastara Juma na Rais Wa Bongo Movie Steve Nyerere. Mfuko wa
Pensheni Kwa Watumishi wa Umma PSPF.
Mkuu
wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akiongea machache wakati wa
uzinduzi wa Filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni iliyofanyika jana Septemba
4, 2014 katika viwanja vya Leadrs Club.
Rais Wa Bongo Movie Steve Nyerere akitema cheche.
Wazazi wa mwanadada Didas...


Bendi ya YAMOTO akimwaga burudani.



Wageni waalikwa.

Msanii H. Baba akiwanga burudani.

Mke wa H.Baba, Flora Mvungi akitoa burudani sambamba na wacheza shoo wake.

Baba na Mama wakitoa burudani.


Wasanii waliohudhuria uzinduzi huo.
UZINDUZI WA FILAMU YA 'MATESO YANGU UGHAIBUNI' WAFANA JIJINI DAR
Reviewed by crispaseve
on
07:07
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
07:07
Rating:

Post a Comment