Header AD

ETI HII NDIO SIFA KUU YA LAVEDA NI......KUJIPIGA PUNYETO HADHARANI


Laveda akusanya virago vyake



Hivi ni kujipendekeza ama ni pombe daaaah, alichokifanya Laveda wale wenzake wa karibu akija msijifanye mnamkebehi, mwambieni vyote vilivyomuhusu first, kuchukiwa na housemates wenzie kwakujiona bora na upuuzi mwingine,mimi wala siwalaumu multchoice Tz, huwa wanawapa lectures vizuri tuu ila wakifika huko wanawehuka, mtu kujipigaje punyeto hadharani mtoto wa kike? kweli umdhaniaye ndiye kumbe siye..... karibu nyumbani mwayego ....umevuna ulichokipanda...
hivi wapendwa kuna umuhimu wa multichoice kuchunguza background  ya mshiriki kabla hawajampitisha..?? wanasema binaadam hakuna aliyemkamilifu ila kuna tabia nyingine huwa hazivumiliki ujueee sasa hii ya kujipiga punyeto hadharani vidole vya Laveda kumbe vina kazi nyingi....
wakati Idris akiwa nominated hebu tumpe support i jus dont know why i didnt like Laveda's game ever since, daah hajipendi mwili wake yaani alikuwa yupo yupo tuu... hivi kweli alikuwa anawakilisha Ladies in Bongo??? BIG NO mie hajaniwakilisha......
ETI HII NDIO SIFA KUU YA LAVEDA NI......KUJIPIGA PUNYETO HADHARANI ETI HII NDIO SIFA KUU YA LAVEDA NI......KUJIPIGA PUNYETO HADHARANI Reviewed by crispaseve on 03:43 Rating: 5

No comments

Post AD