HOTEL ZA DOUBLE TREE BY HILTON TANZANIA WADHAMINI SIKU YA CHAKULA ILIYOFANYIKA KWENYE VIWANJA VYA TANGANYIKA INTERNATIONAL SCHOOLS
Hotel
Za Double Tree By Hilton Tanzania Tarehe 18.10.2014 walidhamini Siku Ya
Maonesho Ya chakula Iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya Tanganyika
International Schools.Akielezea Madhumuni ya kuandaa siku hiyo .
Mkurugenzi
wa Mauzo wa Hotel za Double Tree By Hilton Tanzania Bwana Florenso
Kirambata alisema kuwa nia yao kubwa ni kuweza kuyapa fursa makampuni
mbali mbali na wajasiliamali wadogo wadogo kuweza kuonyesha uwezo wao na
bidhaa wanazotengeneza.
Mr
Florenso akaongeza kuwa zaidi ya wajasiriamali wadogo wadogo 100(mia
Moja) na Wakubwa 50(hamsini) walishiriki kwenye maonesho hayo hasa lengo
kuu ikiwa ni kuonesha aina mbali mbali za vyakula wanavyozalisha hivyo
kuweza kujitangaza na kufahamika.
Pichani
Juu Katikati ni Meneja Masoko wa Hotel za Double Tree By Hilton Bwana
Florenso Kirambata kushoto ni mpishi mkuu wa Double Tree Hassan na kulia
ni Ayman.
Mpishi
Msaidizi wa Hotel ya Double Tree Awadh(kushoto) Akiwa Anapata
maelekezo toka kwa Mpishi mwenzake Ayman namna ya kuandaa na kuchanganya
vyakula
HOTEL ZA DOUBLE TREE BY HILTON TANZANIA WADHAMINI SIKU YA CHAKULA ILIYOFANYIKA KWENYE VIWANJA VYA TANGANYIKA INTERNATIONAL SCHOOLS
Reviewed by crispaseve
on
04:26
Rating:

Post a Comment