Msanii wa kundi la TMK Wanaume Family,Yesaya Ambilikile ‘ Y- P’ amefariki dunia
Msanii wa kundi la TMK Wanaume Family,Yesaya Ambilikile ‘ Y- P’
amefariki dunia usiku wa leo katika Hospitali ya Temeke baada ya
kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa kifua.
Akizungumza na mtandao huu Kiongozi wa kundi hilo, Said Fela,
amethibitisha msiba huo na kusema ratiba kamili itatoka leo mchana.
“Mpaka sasa hivi bado hatujaandaa ratiba, tunasubirika kaka yake kwa
sababu huyo mtu kafariki usiku hospitali. Kwahiyo ndugu zake wakishakuja
ndo watasema…
Msanii wa kundi la TMK Wanaume Family,Yesaya Ambilikile ‘ Y- P’ amefariki dunia
Reviewed by crispaseve
on
05:12
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
05:12
Rating:


Post a Comment