Mtandao wa Wanawake na Katiba Kuelimisha Katiba Inayopendekezwa
Mwenyekiti
wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza katika
Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa
Katiba Mpya lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Mjumbe
wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akizungumza katika
Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa
Katiba Mpya lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Lilian Liundi akizungumza katika
Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa
Katiba Mpya lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Mtandao wa Wanawake na Katiba Kuelimisha Katiba Inayopendekezwa
Reviewed by crispaseve
on
02:52
Rating:

Post a Comment