MUONGOZAJI WA FILAMU BENII OTIENO AFARIKI DUNIA
Mdogo
wa aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu marehemu George Otieno
‘Tyson’ aitwaye Benson Okumu Otieno 'Benii' enzi za uhai wake.
Mdogo wa aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu marehemu George
Otieno ‘Tyson’ aitwaye Benson Okumu Otieno 'Benii' amefariki dunia
ghafla katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo, Dar mchana leo. Msiba upo
Sinza Vatican
Benii alikuwa muigizaji na muongozaji wa filamu mbalimbali nchini. Mipango ya mazishi ya kumpeleka kwao Kenya
BamizaBlog tunatoa pole
kwa familia ya Benson Okumu Otieno, ndugu jamaana marafiki, Bwana ametoa
, Bwana ametwaa jina lake…
MUONGOZAJI WA FILAMU BENII OTIENO AFARIKI DUNIA
Reviewed by crispaseve
on
13:26
Rating:

Post a Comment