OSCAR PISTORIUS AFUNGWA MIAKA MITANO
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa kwenda jela kwa miaka mitano kwa mauaji ya mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Jaji Thokozile Masipa, akitoa hukumu hiyo mjini Pretoria, pia amempa kifungo cha nje cha miaka mitatu kwa shtaka la kufyatua silaha.
OSCAR PISTORIUS AFUNGWA MIAKA MITANO
Reviewed by crispaseve
on
04:47
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
04:47
Rating:



Post a Comment