RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI BARABARA YA MWENGE-TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM JANA

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara
ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar
es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni
sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa
magari katika jiji la Dar es Salaam.

Wananchi
wakifurahia hotuba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa ufunguzi
rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda
ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya
Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa
kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada
wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta
leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam.
Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya
mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika
jiji la Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe
Saidi Meck Sadiki, Meya wa Konondoni Mhe, Mbunge wa Kawe Mhe Halima
Mdee, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe na viongozi wengine

Sehemu
ya barabara ya Mwenge-Tegeta yenye urefu wa Km 12.9, ambayo ni sehemu
ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari
katika jiji la Dar es Salaam
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mbunge wa Kawe Mhe Halima Mdee baada
ya ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la
Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa
barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya
Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
|
RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI BARABARA YA MWENGE-TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM JANA
Reviewed by crispaseve
on
06:34
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
06:34
Rating:


Post a Comment