Serikali yashauriwa kuwekeza katika sekta ya Filamu

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu
Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akiowaonyesha mabango ya filamu za Tanzania wageni
kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (hawapo pichani) walipotembelea ofisi za
Bodi hiyo ili kujifunza namna ya Uendeshwaji wa Bodi ya Filamu jana jijini Dar
es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Bw. Silyvester Sengerema.

Kutoka kushoto ni Afisa Mult Media
kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA) Bi. Jacquline Kinyanjui, Afisa Mult
Media kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Kenya Bi. Mercy Tepla na Afisa kutoka
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw. George Charles wakisikiliza maelezo
kutoka kwa uongozi wa Bodi ya Filamu Tanzania walipotembelea ofisi za Bodi hiyo
jana jijini Dar es Salaam.

Ujumbe kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Kenya wakiwa katika kikao cha pamoja na Watendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania
jana jijini Dar es Salaam.Picha na Frank Shija, WHVUM
Serikali yashauriwa kuwekeza katika sekta ya Filamu
Reviewed by crispaseve
on
05:24
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
05:24
Rating:

Post a Comment