Header AD

TOT, WAKALI WA HIP HOP WAPAGAWISHA MASHABIKI DARLIVE

Malkia wa mipasho, Hadija Kopa,  akiimba.
…Akiimba na kunengua mbele ya mashabiki.…
Malkia wa mipasho, Hadija Kopa,  akiimba.
…Akiimba na kunengua mbele ya mashabiki.
                   Waimbaji wa TOT wakicheza.
Abdul Misambano akiwapagawisha mashabiki.
Mashabiki wakiserebuka.
H. Baba akiwapagawisha mashabiki.
H. Baba akiimba katika msitu wa mashabiki.
Meneja wa H. Baba aitwaye Dk Fadhil, akimmwagia pesa H. Baba.
H. Baba akiimba na mkewe Flora Mvungi a.k.a. H. Mama
…Wakiimba na kunengua.
Roma Mkatoliki akikamua.
…Akipagawisha mashabiki.
Mashabiki wenye mzuka.
Roma akiwapelekesha puta mashabiki.
Juma Nature akifanya yake.
…Akipeana ‘Hi’ na mashabiki wake.
JB akikamua.
Juma Nature na JB wakikamua.
UKUMBI wa maraha wa Dar Live ulioko Mbagala-Zakheem jijini Dar es Salaam jana ulifurika mashabiki wa muziki ambao uliporomoshwa na wasanii mahiri ambao ni Juma Nature, Roma Mkatoliki, H. Baba na mkewe H. Mama, na bendi ya taarab ya TOT.
(Habari/Picha na:IIssa Mnally/Gpl)
TOT, WAKALI WA HIP HOP WAPAGAWISHA MASHABIKI DARLIVE TOT, WAKALI WA HIP HOP WAPAGAWISHA MASHABIKI DARLIVE Reviewed by crispaseve on 03:44 Rating: 5

No comments

Post AD