Header AD

Angalia Unyanyasaji wa watoto kwa wadada wa kazi (yaya)


Tafadhali naomba uiangalie hiyo Video Clip niliyo kutumia hapo ni Muhimu sana kuliko vitu vyote ambavyo nimesha wahi kutuma kwako na kisha Tafadhali sambaza kwa watu wote ulionao kwenye what's app yako na Groups zote mpaka tujue hili swala limefikia wapi na kuhusu ‪#‎Unyanyasaji‬ wa ‪#‎Watoto‬
NB:Tafadhali sambaza hata kama ni Nje ya Tanzania ndugu yangu mpaka tupate muafaka wa huo ‪#‎Unyama‬ & Pia iwafikia wazazi wote ambao hawajipangi!.
1.Nunua BabyCam na Uitege mahali ambako hata huyo ‪#‎Dada‬ hataigusa.
2.Kuwa na Jirani ambaye angalau atakuwa anapita mara kwa mara kuwaangalia wanaendeleaje hata kama unamlipa ( Mtoto ni ‪#‎Priceless‬ )
3.Piga simu Nyumbani mara kwa mara kujua hali ya mtoto kama Amekula etc.
4.Jenga Tabia ya Kurudi Nyumbani Muda Tofauti upatapo nafasi ofisini ( Surprise ) kwamba #Dada Asijue Muda wako rasmi wa kurudi nyumbani!.

ie:KAMA UNAZO TIPS ZA ZIADA AMBAZO ZINAWEZA KUSHAIDIA TAFADHALI ONGEZEA HAPO & PIA KUMBUKA KU-SHARE HIYO VIDEO NA HAYA & YALE MAANDISHI YA MWANZO NILIYOTUMA NAYO!.
Pole Sana najua umeumia ‪#‎Roho‬!.
bofya hapa kuangalia unyanyasaji huo
 
Angalia Unyanyasaji wa watoto kwa wadada wa kazi (yaya) Angalia Unyanyasaji wa watoto kwa wadada wa kazi (yaya) Reviewed by crispaseve on 06:54 Rating: 5

No comments

Post AD