Header AD

Mamia Wajitokeza Kwenye Mkutano wa Hadhara wa Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Mpanda Mjini


 Helkopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe katika mikutano yake ya Oparesheni Delete CCM, ikitua katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda juzi.
 Helkopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ikiondoka katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda, baada ya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika juzi.
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mpanda na vitongoji vyake, kayika mkutano wa hadahara wa Oparesheni Delete CCM, juzi.
Mamia Wajitokeza Kwenye Mkutano wa Hadhara wa Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Mpanda Mjini Mamia Wajitokeza Kwenye Mkutano wa Hadhara wa Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Mpanda Mjini Reviewed by crispaseve on 22:17 Rating: 5

No comments

Post AD