MKUU WA MKOA MPYA WA DODOMA CHIKU GALAWA AFUNGUA WARSHA YA KUPINGA RUSHWA YA NGONO KATI YA MABOSI NA WATENDAJI WA CHINI
Shekh
Husen Kuzungu akifafanua jambo wakati akichangia mada kwenye semina ya
kutafuta namna ya kutokomeza Rushwa ya Ngono iliyoandaliwa na Chama cha
Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) iliyofanyika Dodoma.
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akifafanua jambo wakati alipokuwa
akifungua Semina ya siku moja ya kutafuta namna ya kukabiliana na Rashwa
mbalimbali ikiwemo ya Ngono kati ya viongozi na watendaji wa chini
iliyoandaliwa na Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA).
Mwenyekiti wa Chama cha Majaji wanawake Tanzania Jaji Engera Kileo akizungumza katika semina hiyo.
MKUU WA MKOA MPYA WA DODOMA CHIKU GALAWA AFUNGUA WARSHA YA KUPINGA RUSHWA YA NGONO KATI YA MABOSI NA WATENDAJI WA CHINI
Reviewed by crispaseve
on
01:23
Rating:

Post a Comment