Header AD

SHEREHE ZA UZINDUZI WA STUDIO ZA KITUO KIPYA CHA UTANGAZAJI GHETTO RADIO TANZANIA ZAFANA

 
  
Meneja wa Ghetto Radio ya Sibuka FM  94.5 Bw. Edward Rukaka  aliyeshika Mkasi ,akiizindua Rasmi Studio hiyo na kuitambulisha kwa wadau. kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Bahati nasibu Tanzania Bw. Abbas Tarimba akishuhudia uzinduzi huo.
 Mkurugenzi wa Ghetto Radio Kenya Bw. Majimaji akizungumza wakati wa usiku wa kuzindua Rasmi Studio ya Kurushia matangazo ya Radio ya Ghetto Radio ya Sibuka FM Nchini Tanzania hivi karibuni
 Mkurugenzi wa Sibuka George Nangali kulia akiwa na
Mkurugenzi wa Ghetto Radio Matt Brouwer  wakati wa Sherehe Fupi za  uzinduzi wa Studio hiyo iliyopo mtaa wa Hananasifu Kinondoni.
Katikati ni Balozi wa Ghetto Radio ya Sibuka FM Msanii mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva Juma Nature wakati wa uzinduzi huo
SHEREHE ZA UZINDUZI WA STUDIO ZA KITUO KIPYA CHA UTANGAZAJI GHETTO RADIO TANZANIA ZAFANA SHEREHE ZA UZINDUZI WA STUDIO ZA KITUO KIPYA CHA UTANGAZAJI GHETTO RADIO TANZANIA ZAFANA Reviewed by crispaseve on 12:42 Rating: 5

No comments

Post AD