Soma Alichoandika Jose Chameleon Kuhusu Diamond
Msanii Jose Chameleone wa Uganda amekanusha habari zilizoandikwa mitandaoni kuwa amemuomba Diamond Platnumz kufanya collabo
" Siko katika level ya kuomba collabo kihivyo, sio kwamba sina heshima yake (Diamond) ila hiyo sio sahihi na haiwezi kuwa hivyo. Nimekuwa nikifanya muziki kwa miaka 14 na mimi sio msanii mchanga wa kuhangaikia collabo" amesema Jose Chameleon...
Kama Mdau unaonaje suala hili la kuandika andika vitu visivyo na ukweli kama hili
Soma Alichoandika Jose Chameleon Kuhusu Diamond
Reviewed by crispaseve
on
06:07
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
06:07
Rating:


Post a Comment