Header AD

URAIA WA WA RWANDA WAMLIZA MISS TZ MPYA!


 
NI balaa juu ya balaa! Miss Tanzania mpya wa mwaka  2014 aliyepokea taji kutoka kwa Sitti Abbas Mtemvu, Lilian Deuce Kamazima, amejikuta akimwaga chozi kufuatia kuanza kusakamwa kwa madai  kwamba ni raia wa nchi jirani ya Rwanda kwa kuzaliwa wazazi wake.

Miss Tanzania mpya wa mwaka  2014 aliyepokea taji kutoka kwa Sitti Abbas Mtemvu, Lilian Deuce Kamazima.

Hali hiyo ilimpata juzikati aliposakwa na paparazi wetu aliyetaka ufafanuzi kutoka kwake kwamba hata yeye hana sifa ya kuwa Miss Tanzania 2014 kwa vile si raia wa Tanzania, achilia mbali Sitti aliyedaiwa kudanganya umri.
URAIA WA WA RWANDA WAMLIZA MISS TZ MPYA! URAIA WA WA RWANDA WAMLIZA MISS TZ MPYA! Reviewed by crispaseve on 12:27 Rating: 5

No comments

Post AD