Header AD

Rais Jakaya Kikwete Akiongea Kwa Simu na Kumpongeza Mshindi wa Shindano La Mwaka Huu la Televisheni la Big Brother Africa Idris Sultani


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa simu na Idris Sultani, mshindi wa shindano la mwaka huu la Televisheni la Big Brother Africa wakati alipokuwa na msanii Naseeb Abdul “Diamond” aliyemuonesha tuzo tano za muziki za kimataifa alizoshinda mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam janaJumanne
Rais Jakaya Kikwete Akiongea Kwa Simu na Kumpongeza Mshindi wa Shindano La Mwaka Huu la Televisheni la Big Brother Africa Idris Sultani Rais Jakaya Kikwete Akiongea Kwa Simu na Kumpongeza Mshindi wa Shindano La Mwaka Huu la Televisheni la Big Brother Africa Idris Sultani Reviewed by crispaseve on 08:58 Rating: 5

No comments

Post AD