RAIS KIKWETE ALIPOHUTUBIA TAIFA KUPITIA WAZEE JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam ambao waliitika wito wa kumsikiliza wakati wa kulihutubia Taifa kupitia Wazee kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)






Wananchi
wakishangilia baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kuhitimisha hotuba yake kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar Es
Salaam.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuzungumza na Wazee wa mkoa wa Dar
es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo alimpa taarifa
Mheshimiwa Rais juu ya mafanikio ya ujenzi wa maabara katika Shule za
Sekondari mjini Dar es Salaam pamoja na matokeo ya uchaguzi wa Serikali
za mitaa.(Picha na Adam Mzee)
RAIS KIKWETE ALIPOHUTUBIA TAIFA KUPITIA WAZEE JIJINI DAR
Reviewed by crispaseve
on
02:04
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
02:04
Rating:


Post a Comment