Nuh Mziwanda ameingia kwenye orodha ya wasanii wavisha pete wapenzi
wao ambao pia ni wasanii hapa Tanzania. Usiku wa Dec 20 Nuh amemvalisha
pete msanii wa Bongo Fleva ‘Shilole’ kwenye siku yake ya kuzaliwa.
TAZAMA PICHA NYINGINE SHILOLE AKIVALISHWA PETE NA NUH MZIWANDA JANA KWENYE BIRTHDAY PARTY YA SHILOLE
Reviewed by crispaseve
on
08:03
Rating: 5
Post a Comment