Header AD

BAADA YA KUGEUZWA KICHAKA CHA UFUSKA,OFISI YA KANUMBA YAFUNGWA,VITU VYASOMBWA USIKU

Inauma sana! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusikia habari hii kuwa ile ofisi ya aliyekuwa mwigizaji kinara wa sinema za Kibongo, Steven Charles Kanumba ‘Marehemu Kanumba The Great’ iitwayo Kanumba The Great Films iliyokuwa maeneo ya Sinza-Mori jijini Dar imefungwa rasmi huku vitu vikihamishwa usiku.
BAADA YA KUGEUZWA KICHAKA CHA UFUSKA,OFISI YA KANUMBA YAFUNGWA,VITU VYASOMBWA USIKU BAADA YA KUGEUZWA KICHAKA CHA UFUSKA,OFISI YA KANUMBA YAFUNGWA,VITU VYASOMBWA USIKU Reviewed by crispaseve on 10:23 Rating: 5

No comments

Post AD