Nasisitiza
watu msiongee vitu bila kujua ukweli,mnapoteza muda kumuongelea mtu
ambae kashaongelewa sana kwa vitu kibao na anavumilia na anajua ya watu wabaya
wanamtengenezea ubaya,ila watu wangu wananielewa nilivyo so respect kwao, nikisikia hilo jina tena nitamtoa mtu kamasi jekundu.
CHIDI BENZI AKWERWA NA JINA ALILOPACHIKWA NA KUITWA CHIDI VITS BAADA YA KUKONDA
Reviewed by crispaseve
on
02:12
Rating: 5
Post a Comment