Header AD

MEYA MANISPAA YA MOSHI AWASEMEA WATENDAJI WANAO HUJUMU MALI ZA UMMA KWA WANANCHI


Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi na Mwenyekiti wa Chadema Manispaa ya
 Moshi Jafary Michael akiwahutubia wakazi wa mji wa Moshi wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Manyema mjini Moshi.
Baadhi ya wananchi wakiwa barabarani kumsikiliza Meya wa Manispaa ya Moshi
katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Manyema.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael katika viwanja vya Manyema ,Meya Jafary alikuwa akizungumzia vitendo vya Uporaji wa Viwanja vya Umma pamoja na tatizo la wafanya biashara ndogo ndogo  maarufu kama wamachinga.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii Kanda ya Kaskazini.
MEYA MANISPAA YA MOSHI AWASEMEA WATENDAJI WANAO HUJUMU MALI ZA UMMA KWA WANANCHI MEYA MANISPAA YA MOSHI AWASEMEA WATENDAJI WANAO HUJUMU MALI ZA UMMA KWA WANANCHI Reviewed by crispaseve on 05:45 Rating: 5

No comments

Post AD