Wajasiriamali, Wasanii na Wanahabari walioshiriki kwenye maonyesho ya Utamaduni nchini Oman,warejea nchini
Wajasiriamali,
Wasanii na Waandishi wa Habari waliopata nafasi yakwenda Oman kwa ajili
ya kuutangaza Utamaduni wao wakipokelewa na Naibu Waziri wa Habari
Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar.
Naibu
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Bi Hindi Hamadi wa
mwanzo kulia akiwasalimia wasanii hao baada ya kuwasili uwanjani hapo.
Baadhi
ya Waandishi wa Habari wakimuhoji mmoja kati ya Wasanii waliyopata
bahati ya kwenda nchini Oman kwa ajili ya maonyesho hayo.
Naibu
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar,Bi. Hindi Hamadi
Khamis (katikati) akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar wa Abeid
Karume akisubiri kuwasili kwa Wajasiriamali, Wasanii na Waandishi wa
Habari waliokuwa nchini Oman kwa ajili ya maonyesho ya Tamasha la
Utamaduni yaliyofanyika nchini humo.
(Picha na Miza Othman Maelezo, Zanzibar)
Wajasiriamali, Wasanii na Wanahabari walioshiriki kwenye maonyesho ya Utamaduni nchini Oman,warejea nchini
Reviewed by crispaseve
on
04:34
Rating:
Post a Comment