Header AD

WAKAZI KIGAMBONI WACHANGAMKIA BIMA YA MATIBABU YA SH. 1000/= KWA SIKU

 Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja, Akimsomea kipeperushi cha Bima ya Matibabu, Saada Ramadhani Mkazi wa Yale Yale Puna – Kigamboni, Dar es Salaam, wakati wa hafla ya kuwahamasisha wakazi wa eneo hilo kujiunga na Bima ya Matibabu inayotolewa kwa Shilingi 1000   kwa siku kwa ushirikiano na AAR, Inayowezesha familia nzima kupata matibabu katika hospitali zote na kununua madawa katika maduka yaliyopendekezwa.
WAKAZI KIGAMBONI WACHANGAMKIA BIMA YA MATIBABU YA SH. 1000/= KWA SIKU WAKAZI KIGAMBONI WACHANGAMKIA BIMA YA MATIBABU YA SH. 1000/= KWA SIKU Reviewed by crispaseve on 04:27 Rating: 5

No comments

Post AD