DIANA EDWARD AIBUKA MSHINDI WA MISS TANZANIA 2016.
 Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana
 Edward akiwapungia Mkono wananchi wa Jiji la Mwanza mara baada ya 
kutangazwa Mshiindi wa Miss Tanzania 2016 Jijini Mwanza Leo wakati wa 
Kuhitishimisha hindano la Miss Tanzania 2016. 
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana
 Edward  katikati akiwa na mshindi wa pili na watatu Grace Malikita na 
Maria Peter mara baada ya Msindi wa shindano la Miss Tanzania 2016 
kutangazwa Mshindi jijini Mwanza leo.

Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwa na washindi watano wa kwanza katika kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 jiji Mwanza leo.
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana
 Edward kushoto akiwa na wenzake wakati wa Kunesha Vazi la ubunifu 
wakati wa kusaka mshindi wa Miss Tanzania 2016 jijini Mwanza leo.
Mamiss
 Tanzania 2016 wakionesha Mavazi yao ya ubunifu wakti wakati wa Kusaka 
Mshindi wa Miss Tanzania 2016 katika viwanja vya Rock City Mall jijini 
Mwanza Leo.
Washindani wa Mamiss Tanzania 2016 wakiburudisha Jamii waliohudhulia wakati wa kumsaka Miss Tanzania 2016 jijini Mwanza leo.
Mamiss
 Tanzania wakionesha Mavazi ya Ufukweni wakati wa kushindania nani ni 
nani katika shindano la Miss Tanzania 2016 yaliyohitimishwa katika 
viwanja vya Rock City Mall jijini Mwanza.
Burudani ikiendelea  ikitumbuizwa na msaaniioka kutoka jijini Mwanza.
Msheereshaji akifanya yake.
Naibu
 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia James Wambura
 ambaye ndiye Mgeni Rasmi wa siku ya Kuhitimisha Mashindano ya Miss 
Tanzania kwa 2016 akiangalia mashindanohayo jinsi yanavyoendelea 
kufanyika katika Viwanja vya Rock City Mall jijini Mwanza Leo.
Madam Wema Sepetu hakusita kufika katika Mashindano ya Miss Tanzania 2016 jijini Mwanza.
Gari la zawadi ya Mshindi wa Miss Tanzania 2016.
Mamiss Tanzania wakionesha mavaji ya jioni.
Tano Bora.
Kumi na Tano bora ya Miss Tanzania 2016.
Top 5 wakiwa katika pozi.
Meza ya Majaji.
Miss
 Tanzania 2006, Wema Sepetu akizungumza wakati wa hitimisho la 
Mashindano ya Miss Tanzania 2016 mara baada ya kuombwa na wananchi wa 
jijini Mwanza apande jukwaani.
Mshindi
 wa Miss Tanzania 2014, Lilian Kamanzima akizungumza machache kabla ya 
kukabidhi Taji la Miss Tanzania kwa mshindi wa 2016, Diana Edward.
Mshindi
 wa Miss Tanzania 2014, Lilian Kamanzima akiwa katika picha ya Pamoja na
 washindi watano wa kwanza kabla ya kutangazwa washindi watatu wa 
kwanza.
Mshindi
 wa Miss Tanzania 2014, Lilian Kamanzima akimvisha Taji la Miss Tanzania
  mshindi wa 2016, Diana Edward mara baada ya kuibuka mshindi wa 
Kinyang'anyiro hicho.
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwapungia Mkono wanachi mara baada ya kuvishwa taji la Miss Tanzania 2016.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia James Wambura  akimkabidhi ufunguo Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward mara baada ya kuibuka Mshindi wa Miss Tanzania 2016.
Naibu
 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia James Wambura
  akimpongeza Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward.
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akipongezwa.
Red Carpet ndivyo ilivyokuwa.
Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamii, Mwanza.
DIANA EDWARD AIBUKA MSHINDI WA MISS TANZANIA 2016.
 
                    Reviewed by crispaseve
                    on 
                    
00:47
 
                    Rating: 
                    
 
                    Reviewed by crispaseve
                    on 
                    
00:47
 
                    Rating: 



















































Post a Comment