Header AD

BREAKING NEWS: Mbunge Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana


Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo March 3, 2017 imemuachia kwa dhamana Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, Mahakama hiyo ilimtaka Lema asaini bondi ya shilingi milioni 1 na wadhamini wawili wenye vitambulisho vinavyotambulika ambapo alikidhi vigezo na kuachiwa huru.
BREAKING NEWS: Mbunge Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana BREAKING NEWS: Mbunge Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana Reviewed by crispaseve on 05:50 Rating: 5

No comments

Post AD