MAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI WANAWAKE KUTOKA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO
Polisi
wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika
SARPCO,wakimsikiliza Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan alipokuwa
akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo ya siku tatu
Makamu
wa Rais Mh.Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo wakati akifungua
mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya
nchi za kusini mwa Afrika SARPCO,leo katika ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini ,Dar es Salaam.Mh Samia ndiye mgeni
rasmi wa mafunzo hayo.Picha na Adam Mzee/VPO.
Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu
ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa
Afrika SARPCO,leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius
Nyerere,jijini ,Dar es Salaam.Mh Samia ndiye mgeni rasmi wa mafunzo
hayo.Picha na Adam Mzee/VPO.
Makamu
wa Rais Mh.Samia Suluhu Hassan akifuatilia moja ya taarifa wakati wa
ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya
Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO.Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Julius Nyerere ,Dar es Salaam.Kushoto kwake ni Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini,IGP Ernest Mangu.
Polisi
wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika
SARPCO wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mafunzo hayo ya siku
tatu.
Makamu
wa Rais (wa nne kulia) Mh.Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa
mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya
nchi za kusini mwa Afrika SARPCO,leo katika ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini ,Dar es Salaam.Mh Samia ndiye mgeni
rasmi wa mafunzo hayo.Picha na Adam Mzee/VPO
Mafunzo
ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za
kusini mwa Afrika SARPCO,yakiendele leo katika ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini ,Dar es Salaam.Mh Samia ndiye mgeni
rasmi wa mafunzo hayo.Picha na Adam Mzee/VPO.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt.
Augustine Mahiga akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni wakati wa Mafunzo ya siku tatu ya
polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika
SARPCO,yakiendele leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius
Nyerere,jijini ,Dar es Salaam.
Baadhi
ya Askari wanaoshiriki ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya polisi
wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika
SARPCO,wakiwasili kwa Gwaride katika.Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Julius Nyerere ,Dar es Salaam.
MAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI WANAWAKE KUTOKA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO
Reviewed by crispaseve
on
06:52
Rating:
Post a Comment