Header AD

JK AMUAPISHA PROFESA MWANDOSYA

Rais Jakya Kikwete (kushoto) akimwapisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya katika hafla iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam leo asubuhi. (Picha zote na Kamanda Mwaikenda)
         Profesa Mark Mwandosya akila kiapo Ikulu, Dar es Salaam leo.
       Profesa Mwandosya, ambaye ni Mbunge wa Rungwe Mashariki akitia saini kwenye kiapo hicho
Rais Kikwete akitia saini kwenye kiapo hicho.

             Rais Kikwete akitia saini kwenye kiapo hicho.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi vifaa vya kufanyhia kazi Profesa Mwandosya baada ya kumuapisha.
             Profesa Mwandosya akiwa na mkewe Lucy kabla ya kuapishwa
 Profesa Mwandosya akiwa na baadhi ya ndugu na jamaa walioalikwa kushuhudia sherehe ya kualikwa kwake
 Wageni waalikwa wakishuhudia Profesa Mwandosya akiapishwa na Rais Jakaya Kikwete
                                        Profesa Mwandosya akielekea eneo la kuapishwa
                              Mwandosya akisubiri kuapishwa
         Profesa Mwandosya akielekezwa jambo na mmoja wa maofisa wa Ikulu
      Rais Kikwete akiwa na Mwandosya wakielekea kupiga 
picha
 Rais Jakaya Kikwete na Profesa Mwandosya wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu, jamaa na familia baada ya shughuli ya kuapisha kumalizika.
Rais Jakaya Kikwete akimuelekeza jamboi Profesa Mwandosya

            Wanahabari wakiwa wamelizingira gari kuzngumza na Profesa Mwandosya
Reviewed by crispaseve on 10:21 Rating: 5

No comments

Post AD