JK APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO BALOZI WA RWANDA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho wa balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania Mhe.Benjamin Ruganguzi wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana. Katikati ni Mkuu wa itifaki Balozi Antony Itatiro(picha na Freddy Maro).

Post a Comment