Header AD

MNYIKA AIBUKA KIDEDEA MAHAKAMANI

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika (kulia), akiwa na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, wakifurahi katika moja ya shughuli ya burudani nchini.

Mbunge wa  Jimbo la Ubungo kupitia Chadema asubuhi hii ameshinda kesi iliyofunguliwa na Hawa Ng'umbi wa CCM, kupinga ushindi wake katika uchaguzi uliofanyika  Oktoba  2010.

Hukumu hiyo imetolewa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam.

Habari zaidi tutaendelea kuwaletea punde
Reviewed by crispaseve on 06:59 Rating: 5

No comments

Post AD