TAIFA KATIKA TASWIRA:MSHITAKIWA(John Mnyika) na MSHITAKI(Hawa Nghumbi) WAKIBADILISHANA MAWAZO MAHAKAMANI
Mbunge wa Ubungo kwa tiketi ya Chadema, John Mnyika(Kushoto) akiwa na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi Mkuu 2010,Hawa Nghumbi, wakati wakisubiri hukumu, katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kuhusu kesi ya kupiga matokeo yaliyompa ushindi Mnyika iliyofunguliwa na Hawa Nghumbi kwenye mahakama hiyo.

Post a Comment