| Miss Kigamboni City 2012 , Edda Sylvester (katikati) akiwa na mshindi wake wa pili Agnes Goodluck (wapili kushoto) na mshindi wa tatu Elizabeth Boniphace (wapili kulia) Kulia kabisa ni mshindi wa nne Esther Albert ni kushoto mshindi wa tano Hadija Kombo. Shindano hilo limefanyika katika ukumbi wa Navy Beach, Kigamboni usiku huu na kushuhudiwa na mamia ya wakazi wa Kigamboni. Warembo hawa wote 5 wamepata tiketi ya kuingia Kambi ya Miss Temeke ambayo inawarembo 15. Picha zaidi hapo baadae. |
Post a Comment