MGONJWA AOMBA MSAADA WA KUPATIWA MATIBABU AKIWA AMELALA PEMBEZONI MWA BARABARA
Mtu mmoja ambaye hakuweza fahamika mara moja jina lake,akiwa amelala pembezoni mwa moja ya barabara za jijini Mwanza huku akiwa ameweka bango la kuhitaji kupatiwa msaada wa matibabu kama linavyojieleza pichani hapo.Picha na Mdau G Sengo.

Post a Comment