TAMKO LA MAGENGE KHS KUZULUMIWA KWA RAPPER DOGO JANJA.
sisi magenge ya mwenge 2mesikitishwa sana na kitendo cha madee kufikia ha2a hy iliofikia hd dogo janja kuamua kurudi arusha kw kutoka kwa maelezo ya dogo imeonekana madee jukumu alilolichukua hakulikamilisha, sasa je haki ya dogo janja iko wapi? Km anarudi arusha bila ya chochote. madee imefika mahali lazma wa2 wajue ukweli maana maongezi yako kwny vyombo vya habari yanagongana.
Kama kuna unyonyaji ulikuwa unaendea basi watanzania wajue na hatma ya huyo dogo janja ifikiwe na apewe haki yake 2meshoshwa na unyonyaji magenge ya mwenge
Post a Comment