Header AD

Vodacom yachangia zaidi ya Shilingi Bilioni 700 katika Malipo ya Kodi ya Serikali


Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Bw. Rene Meza akielezea jinsi Vodacom ilivyochangia zaidi ya shilingi bilioni 700 katika malipo ya kodi ya serikali alipokutana na waandishi wa habari mjini Dodoma.

Sehemu ya Waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza wakati alipokuwa akiwaelezea uchangiaji wa Vodacom wa zaidi ya Shilingi bilioni 700 katika kodi za serikali alipokutana nao mjini Dodoma.
Reviewed by crispaseve on 05:16 Rating: 5

No comments

Post AD