Header AD

Bajeti ya Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia yapitishwa kwa mwaka 2012/13

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mnyaa Mbalawa, akizungumza na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano cha Kampuni ya Simu za mkononi Airtel Tanzania, Beatrice Singano nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, muda mfupi baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2012/13
Naibu Waziri Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kushoto) akiwa na Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Innocent Mungy nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, muda mfupi baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2012/13
Naibu Waziri, Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akipongezwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano cha Kampuni ya Simu za mkononi Airtel Tanzania, Beatrice Singano nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma muda mfupi baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2012/13
Reviewed by crispaseve on 05:08 Rating: 5

No comments

Post AD