Picha Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais:Makamu wa Rais Dkt Gharib Bilal Ateta na Waziri Mpya wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu na Naibu wake, Mohamed Mgimwa IKULU jijini Dar es Salaam

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro
Nyarandu na Naibu wake, Mohamed Mgimwa, baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan 27,
2014.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Picha Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais:Makamu wa Rais Dkt Gharib Bilal Ateta na Waziri Mpya wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu na Naibu wake, Mohamed Mgimwa IKULU jijini Dar es Salaam
Reviewed by crispaseve
on
23:17
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
23:17
Rating:

Post a Comment