Header AD

MZEE DUDE AFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA BUGANDO MWANZA.

Mzee Dude enzi za uhai wake.
Wanasema kila nafsi lazima itaonja mauti,Uongozi wa  Bamiza Blog umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha muigizaji wa kundi la Futuhi ‘Mzee Dude’.  Kama utakuwa ni mfuatiliaji wa vipindi vya vichekesho katika Luninga bila shaka utakuwa sio mgeni wa Mzee Dude ambaye alikuwa ni muigizaji kutoka katika kundi la Futuhi.
Taarifa zinadai muigizaji huyo alizidiwa ghafla siku ya Jumapili kisha kukim.bizwa kwenye hospitali ya Bugando Mwanza ambapo Mauti yalimkuta.
Tunatoa salamu za pole kwa familia ya Marehemu,  Mungu ailaze roho ya Marehemu pema peponi Ameen.
MZEE DUDE AFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA BUGANDO MWANZA. MZEE DUDE AFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA BUGANDO MWANZA. Reviewed by crispaseve on 13:13 Rating: 5

No comments

Post AD