Header AD

TBL YAWAPIGA MSASA MAWAKALA WA BIDHAA ZAO


Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Nicholas Brooks, akielezea njia nzuri za kuboresha mauzo ya bidhaa za kampuni hiyo,katika mkutano wa kuwapiga msasa mawakala wa mauzo na usambazaji wa vinywaji vya kampuni hiyo, Dar es Salaam juzi. Mawakala hao wanatoka mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Zanzibar, Morogoro, Dodoma, Lindi, Pwani na Mtwara.

Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Nicholas Brooks, akiwa na baadhi ya maofisa wa TBL pamoja na mwakala wao.
 Baadi ya mawakala hao kutoka Kanda ya Kusini ya TBL, wakifurahia jambo wakati wa mkutano huo uliofanyika Hoteli ya Double Tree, Masaki Dar es Salaam.
 Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Kusini, James Bokela akitoa maelezo jinsi ya kuboresha mauzo kwa kujenga maghala ya kisasa.
                                        Baadhi ya Mawakala wakisikiliza kwa makini wakati wa mkutano huo

 Meneja wa Huduma za Biashara wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Reginald Mosha akifafanua jambo katika mkutano wa kuwapiga msasa mawakala wa mauzo na usambazaji wa vinywaji vya kampuni hiyo, Dar es Salaam juzi. Mawakala hao wanatoka mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Zanzibar, Morogoro, Dodoma, Lindi, Pwani na Mtwara.
                          Mawakala wakipatiwa zawadi baada ya kumalizika mkutano huo
                                           Mawakala wakipata chakula cha usiku katika hoteli hiyo
                                                                   Ni wakati wa msosi




 Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Kusini, James Bokelaakibadilishana mawazo na baadhi ya mawakala pamoja na maofisa wa TBL
 Maofisa wa TBL, wakijadiliana jambo na wakati wa hafla ya chakula walichoandaliwa mawakala katika hoteli hiyo. Kutoka kulia ni Meneja wa Mawakala, TBL Kinondoni, Jesca Njau, Ofisa wa Mawakala wa TBL Temeke, Albert Kingu, Ahmed Mlapakola ambaye ni Msaidizi wa Masoko maalum na Edward Kisaka Ofisa Mawakala TBL Ilala.
 Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Kusini, James Bokelaakibadilishana mawazo na baadhi ya mawakala pamoja na maofisa wa TBL
 Baadhi ya maofisa wa TBL wakiwa katika picha ya pamoja baada hafla hiyo kumalizika
 Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Nicholas Brooks akisalimiana na baadhi ya mawakala wao
 Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Nicholas Brooks akiagana na ofisa wake Jesca Njau.
 Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Nicholas Brooks (wa pili kushoto) akiagana na mmoja wa mawakala. Kulia  ni James Bokela ambaye ni Meneja wa Mauzo na Usambazaji wa TBL Kanda ya Kusini.,
Reviewed by crispaseve on 05:12 Rating: 5

No comments

Post AD